Welcome Chato ZRH
profile

DR BRIAN C. MAWALLA
EXECUTIVE DIRECTOR

Welcome to Chato zonal refferal hospital, this hospital is located at Chato District near with the Lake Victoria. Our expectation is to provide the services that you deserve regardless of religion, ethnicity, income, race, gender, age or nation. On behalf of the entire Chato Zonal Referral Hospital team, I would like to welcome you to experience ou...Read more

Services And Facilities
 • Kufanya uchunguzi/ tathmini kwa wagonjwa wenye matatizo ya kijamii au kisaikolojia [ social and psycho-social problem) ili kujua jinsi ya kushughulikia
 • Kutoa ushauri kwa wagonjwa na/ au ndugu wa wagonjwa waliobainika kua na matatizo ya kijamii au kis...
readmore

Huduma kwa Wagonjwa wa Ndani

 • Kupitia taratibu za uchunguzi wa kitabibu utambuzi wa magonjwa hufanyika na kuhakikisha matibabu sahihi hutolewa kwa kila mgonjwa.
 • Mzunguko wa kuona wagonjwa Wodini Hufanywa kila siku asubuhi.
 • Kushauriana na Idara ny...
readmore

Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato Hutoa huduma za Kibingwa katika nyanja zifuatazo:

 • Upasuaji wa Mifupa
 • Upasuaji Jumuishi
 • Magonjwa ya kina mama na Afya ya Uzazi
 • Magonjwa ya watoto

readmore


Idara ya Wagonjwa wa dharula na ajali

Idara hii ni moja kati ya Idara zilizokamilika na kujitosheleza kihuduma 

Huduma tunazotoa:

Kitengo cha wagonjwa wa nje (OPD)

 1. Huduma ya kuonwa na daktari
 2. Uchunguzi wa kitabibu
 3. Huduma za...

readmoreDaktari wa Meno akimfanyia uchunguzi wa kinywa na meno mteja

readmore
Recent News and Updates
image description
UPIMAJI NA MATIBABU YA MAGONJWA YA MOYO NA MISHIPA YA DAMU...
Posted on: July 10th, 2024

Madaktari bingwa na bingwa bobezi kutoka taasisi ya moyo ya jakaya kikwete wakishirikiana na madaktari wa hospitali na wataalamu wa hospitali ya rufaa ya kanda chato wataendelea na uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya moyo na mishipa y...Read more

image description
MWENYEKITI WA TUGHE TAIFA ATEMBELEA HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA CHATO....
Posted on: May 6th, 2024

Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE) CDE. Joel G. Kaminyonge, leo Mei 6, 2024 ameitembelea Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato (CZRH) na kufanya mazungumzo na Watumishi kutoka katika kada mbalimbali. ...Read more

image description
TAARIFA KWA UMMA...
Posted on: June 17th, 2024

Madaktari bingwa na bingwa bobezi kutoka taasisi ya moyo ya jakaya kikwete wakishirikiana na madaktari wa hospitali na wataalamu wa hospitali ya rufaa ya kanda chato wataendelea na uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya moyo na mishipa y...Read more

image description
TUNAPATIKANA KATIKA MITANDAO YETU YA KIJAMII....
Posted on: June 10th, 2024

Karibu utufuatilie katika kurasa za mitandao yetu ya kijamii kwa kupata habari zaidi na matukio juu ya huduma zetu za afya zinazotolewa....Read more

image description
MAADHIMISHO YA WIKI YA MAZINGIRZ DUNIANI KITAIFA NA KIMATAIFA KUFANYIKA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA...
Posted on: May 30th, 2024

Kuelekea katika uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya mazingira duniani kitaifa na kimataifa, kanda ya ziwa yatafanyika katika Wilaya ya Chato iliyopo Mkoa wa Geita 01 Juni, 2024. Maadhimisho haya yatazinduliwa kwa kufanya usafi kati...Read more

Patients Visiting Hours
VISITING HOURS

Including Public Holidays
Morning06:00 - 07:00
Noon12:30 - 14:00
Evening16:00 - 18:00
Latest Video
Clinics
Copyright ©2022 CHATOZRH . All rights reserved.