Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato imeanza kutoa huduma ya uzalishaji wa hewa tiba ya Oksijeni (Oxygen Plant), hii ni mara baada ya kukamilika kwake. Mradi huu ni juhudi za Serikali ya awamu ... Read More
News
Hospitali inatoa huduma za afya kwa wanufaika na wanachama wanufaika wa mfuko wa bima ya afya ya Assemble.... Read More
Wataalamu na Madaktari wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato, wameendelea kutoa huduma za afya ikiwa ni pamoja na kufanya uchunguzi wa viashiria mbalimbali vya magonjwa yasiyoambukizwa, upima... Read More
7 Novemba,2023. Zaidi ya wananchi 250 wamejitokeza kufanyiwa uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya watoto, magonjwa ya wanawake na uzazi, magonjwa ya mifupa na viungo, magonjwa ya upasuaji ... Read More
Wataalamu na Madaktari bingwa wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato kwa kushirikiana na Madaktari wa Hospitali ya Wilaya ya Nyang'hwale, leo 02 Novemba, 2023 wameendelea na zoezi la utoaji hu... Read More
Wananchi wa wilaya ya Nyang'hwale mkoani Geita, wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika hospitali ya wilaya hiyo ndani ya siku tano za uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya wanawake na uzazi, ... Read More
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato, Dkt. Briac C Mawalla ashiriki hafla fupi ya uzinduzi wa ripoti ya afya ya uzazi na mtoto na viashiria vya malaria tanzania ya mwaka ... Read More
Mkurugenzi Mkuu wa shirika mwenza kutoka World Renew akiongozana na mratibu wa mama na mtoto Ndugu Freddy Ulembo, Katibu wa Afya Hospitali ya Wilaya ya Chato Ndugu Shamsi Abdallah, Afisa lis... Read More
Ikiwa ni siku ya tano tangu kuanza kwa maonesho ya kimataifa ya madini, zaidi ya wananchi 300 kutoka sehemu mbalimbali wamejitokeza kufanyiwa uchunguzi wa magonjwa ya moyo, kisukari, viashir... Read More
Wizara ya Afya katika Kuhakikisha inaendelea kuimarisha afua ya utoaji huduma za tiba kwa magonjwa ya mlipuko ikiwemo UVIKO-19, imeendelea kuwajengea uwezo watoa Huduma za Afya kwa kuwapatia... Read More