Kuanzia tarehe 31/10/2022 hadi 04/11/2022 kutakuwa na kambi maalum kwa ajili ya matibabu ya Moyo itakayofanyika katika Viwanja vya Hospitali ya rufaa ya kanda Chato kwakushirikiana na madakt... Read More
News
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aahidi Hospitali Rufaa ya Kanda - Chato kujengwa kama ilivyokusudiwa Rais Samia Ametoa ahadi hio leo katika ziara yake y... Read More
Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu amesema Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato imepokea bilioni 18 kwa ajili ya vifaa tiba vya kisasa kama CT - scan, MRI, Thioroscope na ECHO kwa ajili ya ubore... Read More
Leo kwenye ufunguzi wa juma la maadhimisho ya mwaka mmoja wa utoaji huduma katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda- Chato ambayo ilianza kutoa huduma za rufaa tarehe 30 Julai 2021, Mkuu wa Wilaya... Read More
Mkuu wa Wilaya ya Chato Mhe. Martha Mkupasi amekabidhi nyumba 20 zenye thamani ya shilingi milioni 860 kwa watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda-Chato, ambapo ameutaka uongozi wa hospital... Read More
Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato(CZRH) wamejitolea damu kwa hiari leo tarehe 30/6/2022 katika zoezi la kukabidhi nyumba watumishi wa CZRH ... Read More
Hospitali ya Rufaa ya Kanda sasa yapata Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Watoto. Yupo kwa ajili ya Ushauri wa kitabibu, Uchunguzi na Matibabu. "Mlinde sasa Kwa Maisha Bora Ya Badae"... Read More
Kiu ya watumishi wa hospitali ya rufaa ya kanda chato ya kumiliki nyumba zilizojengwa za kuishi watumishi, leo tarehe 31 Mei, 2022 imeisha baada ya Muhandisi Mwakalinga kwa niaba ya katibu M... Read More
Serikali inatambua na kuthamini umuhimu na mchango mkubwa wa wauguzi katika jamii na kwamba ndio kada ya afya ambayo watumishi wake wanatumia muda mrefu kuhudumia mgonjwa hivyo imejipanga ku... Read More
Madaktari wanaohusika na kinywa na meno hospitali ya rufaa ya kanda chato wakitoa huduma na elimu ya kinywa na meno kwa wanafunzi baadhi Wilayani Chato. madaktari hao walisisitiza kuwa Magon... Read More