HUDUMA ZA WAGONJWA DHARURA
Posted on: December 7th, 2024
Idara ya Wagonjwa wa dharula na ajali
Idara hii ni moja kati ya Idara zilizokamilika na kujitosheleza kihuduma
Huduma tunazotoa:
Kitengo cha wagonjwa wa nje (OPD)
- Huduma ya kuonwa na daktari
- Uchunguzi wa kitabibu
- Huduma za vipimo kushirikiana na vitengo vingine kama vile maabara
- Huduma za Elimu ya afya na Ushauri
Kitengo cha wagonjwa wa dharura (EMD)
- Kuona wagonjwa wote wa dharura na kuwaimarisha kabla ya kwenda wodini au chumba chaupasuaji, au wodi ya wagonjwa mahututi.
- Kufanya huduma za uchunguzi za dharura (P.O.C tests) kama vile (ECG, ABG, POC echo, FAST etc
- Kutoa huduma ya dharura kuokoa maisha ya wagonjwa (lifesaving interventions)
- Mafunzo ya utoaji huduma za dharura (Basic emergency care) kwa wafanyakazi wa idara, wafanyakazi kutoka hospitali zingine, wanafunzi wa ndani na nje ya nchi
- Huduma za dawa kwa wagonjwa wa dharura EMD
Huduma zitolewazo
- Kuona wagonjwa wote wa dharura na kuwaimarisha kabla ya kwenda wodini au chumba chaupasuaji, au wodi ya wagonjwa mahututi.
- Kuona wagonjwa wa kawaida (Que patients)
- Kufanya huduma za uchunguzi za dharura (P.O.C tests)
- Kutoa huduma ya dharura kuokoa maisha ya wagonjwa (lifesaving interventions)